Shirika la Anga za Juu la Marekani (NASA), limekuwa likidai kwa muda mrefu kwamba wanadamu wataweza kusafiri hadi katika sayari ya Mirihi (Mars) na kuishi huko katika miongo michache ijayo.
Wanaanga wawili wa shirika la anga la Nasa la Marekani, watakaa kupita muda uliopangwa katika kituo cha anga za kimataifa. Wao sio wanaanga wa kwanza kukwama angani na huenda hawatakuwa wa mwisho.
Wataalamu wanasema kukosekana kwa uadilifu, ukaguzi duni na sababu za hali ya hewa vinachangia ajali hizo na kuwaweka hatarani abiria wanaotegemea usafiri wa angani. Katika miezi ya hivi karibuni, ...
Baada ya zaidi ya miezi tisa kukwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS), wanaanga wawili wa Kimarekania wamerejea Duniani Jumanne, Machi 18, mwisho wa sakata ya anga na kisiasa ...