Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya Afrika ...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amefichua kuwa alitamani mechi ya marudiano ya fainali ya ...
SIMBA walihitimisha mechi yao ya mwisho ugenini Jumamosi usiku saa moja kwa saa za Tanzania. Walikuwa katika ardhi ya Jonas Savimbi na waliambulua sare ya ajabu ugenini. Shomari Kapombe alipewa kadi ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...