Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimechaguliwa na Umoja wa Mataifa (UN) kuwa mwenyeji wa mafunzo ya kipekee kwa ajili ya maafisa wanadhimu wa ...
Piramidi ya chakula ni kielelezo kilichoundwa ili kuongoza tabia za ulaji bora, kuandaa vikundi vya chakula kulingana na marudio na kiasi kinachopendekezwa cha matumizi ya kila siku. Picha: Uzazi / ...
Katika chapisho kwenye mitandao ya kijamii, Trump aliandika: "Tuko tayari kwenda huko." Na Ambia Hirsi & Asha Juma Chanzo cha picha, Telegram/Zelenskiy / Official Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ...
Nchini Zambia, mafunzo ya mapishi yanayotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto, UNICEF, kwa wanawake yamefanikiwa kubadilisha namna familia zinavyowalisha watoto wao, ...
WAZAZI inawapasa wajitahidi kuwapatia watoto makundi ya vyakula, angalau yanayopatikana kwa urahisi kwenye maeneo yao ili kuweza kuwaepusha na utapiamlo. Pia, mzazi anapokuwa anauguza mtoto mwenye ...
Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wametahadharisha kuhusu ongezeko la matumizi ya vinywaji vyenye sukari nyingi, hususani soda kwa wajawazito, wakieleza ni tishio kwa afya ya mama na mtoto. Tafiti ...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo kwamba Israel ni "lazima imalize kazi yake" iliyoianza ya kulitokomeza kundi la Hamas huko Ukanda wa Gaza.
Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Palestina analihutubia leo Alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York kwa njia ya video. https://p.dw.com/p/5148M Rais wa ...